Umenifananisha na
KakaKiiza ye alipoona mchuchu umekuja na kandambili akawahi kaunta, akajificha. Mchuchu ukajua mi ndo Kiiza... nilipotaka kuuonesha Kiiza ni yupi nikakuta njemba ishatimua. Nami nikaenda zangu kukojoa na kutokomea... Mzee
Mtambuzi ndo anajua yaliyojiri baada ya hapo. Maana mzee yule hajuagi kuchagua kabisa...
Hapa mnaniharibia tu kwa
Mzigua90 wakati nina kideti naye La Stanza weekend hii...