Madini yapo ardhini, unazungushaje ukuta huku juu?

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,026
3,100
Madini yapo ardhini, unazungushaje UKUTA huku juu??

Au amesahau kuwa kuna kina El Chapo Guzmane.??

Naomba kueleweshwa........
 
naanza kuchonga manati yangu kama ile Ya vijana wa Mexico, mzigo unarushwa kutoka mbuguni mpaka bomagombe mi naufuata kesho
 
Back
Top Bottom