Una kitu gani maybe kinachokufanya ujione si mtu sahihi kwake? Au labda kuna kitu anakulalamikia afu unaona huwezi kukifanya maybe
Basi Ongea naye umwambie yote hayo, ni ngumu kwenu wote but kumwambia ukweli itamsaidia zaidi kuliko unavyomkalia kimya,; ingawa anaweza asikuelewe pia. Unampa maswali mengi yasiyo na majibu sasa hivi, just fungukaNahisi nahitaji muda mwingi wa kuwa mwenyewe tofauti na nnavyokuwa nae na pia nadhani kwa age yake ntamchelewesha thats y najiona c mtu sahihi kwake
Umri kwangu co tatizo, nampenda sana tatizo naona niko kinyume sana na mtazamo wake kimaisha pia nahisi kama namchelewesha ye kuvuka hatua nyingine ktk maisha