Mi ndoa sitaki labda unigegede tuuuu

hakuna ushauri wa kukupa zaidi ya huo ulio akilini mwako
 
mhh mtalaka hatongozwi ehh!!! au ndio kupasha kiporo moto!!!!

Ninae mmoja kama wa hivi

Namtumia wife akiwa anaumwa au kasafiri;kuwa nae wa akiba kunafanya maisha yawe rahisi sana!

Namshauri jamaa huyu asimkimbie huyu X wake!Kama bado anafaa kwa matumizi ya binadam atamsaidia sana baadae!
 

Kwa maoni yangu mpotezee kabisa wala asikupe maumivu ya kichwa na ili uwe huru zaidi muelezee mwandani wako ukweli huo ili uishi kwa amani. Naongea kwa uzoefu maana nami yalishanikumba masahibu ya namna hiyo ila nikafanya kama nilivyokushauri na nikafanikiwa japo mwenzio anaweza asikuelewe kwa haraka kutegemea na atakavyokuchukulia.
 
We mkaka.... mi hata nashindwa nikushauri nini? Maana akili imenituma nimuwaze mkeo jinsi anavyokuchukulia.... Usikute anakuona bonge la 'gentleman' kumbe 'haunazo' haya maisha haya mmmh!!!!! Kweli 'kuwa uyaone'
Yaani umeoa then unashindwa kumpa jibu lililoonyooka huyo mtu wa barabarani (japokuwa ni x wako) Mbona simple au unahitaji tuition????? Aaagggrrrrhhh!!!!!!
 
mavi yakale hayanuki na muacha asili si jasili wegegeda 2,unalemba mwandiko wakati ni imla!
 
Ninae mmoja kama wa hivi

Namtumia wife akiwa anaumwa au kasafiri;kuwa nae wa akiba kunafanya maisha yawe rahisi sana!

Namshauri jamaa huyu asimkimbie huyu X wake!Kama bado anafaa kwa matumizi ya binadam atamsaidia sana baadae!
hahah yaleyale eti kisima cha kale hakifikiwi ila sio poa kumfanyia mke wako hivi hasa ukizingatia nae ana hisia na anakupenda
 
Dogo kenulia huyo nyani utajavuna mabua shauri yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…