"mi napenda lap top nyie hamtakii"

"mi napenda lap top nyie hamtakii"

Dornatero

Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
15
Reaction score
8
Nmeskia kuna mdau anataka kutugawia laptop 😹nimefurahiiiiii 🙌
Huku kijijini si unajua hawajaleta umemeee ngoja laptop zijeeee tutaangalia muviii weeeeeeeeee usiku kucha.
Kesho yake tunaenda wilayani kucharge battery ya laptop.
Wenzetu wa mjini watafaidi kudownload miziki ya Diamond platinum 👏👏👏
Kwelii mwaka huu mzurii hadi vitu ambavyo havina tija mnaletaaaa utakua powaaa.
Lakini kuna hivi vingine umesahau
1.Shemeji tulimuomba maslahi mazuri🏡

2.Masika ikija tunalowa na wanafunzi wetu😨😨😨

3.Vipi kuhusu madawati ya hawa watoto au nao unawaletea laptop wakalie? 🙈🙊🙈

4.Sijui kura zetu utazihitaji au na wewe ukasema huzihitaji.?💪💪

"usisahau kutuletea na power bank mana nyingine zina fail battery mapema 👅😄😄😊😊😊
 
Tutazichajia nin ebu muulizeni huyo mdau hakuna umeme inchini ccm haifai wanakaribia kutuhaidi maziwa kwenye kila bomba la maji hahahahahahahahahah
 
Back
Top Bottom