Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,006 Apr 13, 2010 #41 Kama unafanana na hii mpya basi uko safi.
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,417 Apr 13, 2010 #42 du haya binti nitaicheki vizuri baadae
Eliphaz the Temanite JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 3,018 Reaction score 1,154 Apr 13, 2010 #43 Nikiangalia hivi namwona mweye sura J.A hiyo maana ni maarufu mno huenda ni role model wako, au kuna mtu alisha kumbia "I see unafanana na J.A". Imependeza mpaka naona aibu kuiangalia.
Nikiangalia hivi namwona mweye sura J.A hiyo maana ni maarufu mno huenda ni role model wako, au kuna mtu alisha kumbia "I see unafanana na J.A". Imependeza mpaka naona aibu kuiangalia.