Inamaanisha isenyee....Hivi wakuu
Unapokua unachati na mwanamke afu ukamuomba mchezo afu yeye akakujibu tu eti Mhhmmmmmm..hiyo huwa ina maana gani?
We mkuu ni tapeli kwenye hiyo sekta ubobevu wako ni wa hali ya juuπ€£Unataka asemeje, sio kila mwanamke atakuambia nataka ukaniweke nina nyege, ukipata wa hivyo shukuru. Wengine hadi unavua kufuli anakuuliza Isenye kwani unafanya nini mbona unanikosea sanaπ€£π€£π€£
Utume helaHivi wakuu
Unapokua unachati na mwanamke afu ukamuomba mchezo afu yeye akakujibu tu eti Mhhmmmmmm..hiyo huwa ina maana gani?
Hahah mkuu, mimi nasemea dada zetu wanavyoturubuniWe mkuu ni tapeli kwenye hiyo sekta ubobevu wako ni wa hali ya juuπ€£
Umenikumbusha mtu analia kabisa alafu baada ya hapo anakuwa mwingine kabisaHahah mkuu, mimi nasemea dada zetu wanavyoturubuni
Amina..Ikimbie zinaa, utakufa kwa ukimwi! wakorinto
1 Kor 6:18-20
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu
πππππacha dharau akujibu yeye maana tukupe sisi.