Kidzogolae
Senior Member
- Apr 20, 2008
- 133
- 2
Majira January 18, 2008:
Urgently Required: Sales person male/female for a pharmacy at Shoppers Plaza. Should be: Form 1V/V educated. Fluent in English. Tanzanian of Asian Origin. Please contact 0754-673586.
Wahindi ni wabaguzi. Mi nadhani mapungufu yao yamezidi!
(Aliye tunza ile picha ya hili tangazo mlangoni kwa Pharmacy ya Mhindi Shopper's Plaza tafadhali naomba abandike au anitumie.)
Wahindi hasa hawa wajukuu wa wale waliokuja kujenga reli ni wabaguzi sana.Katika suala la yule mhindi aliyepewa mkong'oto ni kama somo ili ajue kuheshimu watu.
Unafikiria kiurahisi!
Kwahio wahindi wawaogope weusi, wakiwaona weusi wanahofia kupigwa.
Matokeo= wahindi watahama, je wanaodhirika tena ni kina nani?
Waswahili walioletewa maduka jirani.
Itabidi sasa waswahili kwa hizo bidhaa wakazinunue Nairobi
Hapo ume solve problem?
Tuangalie pande mbili,
Mhindi kumhisi mweusi kuwa mwizi si vizuri na mweusi kumpiga mhindi kwasababu kahisiwa mwizi sio vizuri.
Mswahili angeshitaki kama anaona anaonewa, na mhindi kama anaona anamhisi mweusi ni mwizi angemshitaki. sheria ndio zinazoamua
Hebu angalia hii kuhusu mambo ya sisi waswahili kuona kwamba kumpiga mtu ndio suluhisho.
Mgoni ampigia kelele za wizi mwenye mke
2008-05-29 11:17:18
Na Romana Mallya
Mchinja nyama mkazi wa Vingunguti kwa Kombo, Bw. Sokoine Mtunda, ameuawa na wananchi wenye hasira baada ya mgoni wake kumpigia kelele za mwizi.
Mtunda anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 20 na 25, alikutwa na mauti hayo baada ya kumhisi mtu aliyefahamika kwa jina moja la Hussein kuwa anamwibia mke wake.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ilala, Bw. Faustine Shilogile, alimtaja mwanamke anayedaiwa kusababisha kifo hicho kuwa ni Bi. Muta Mazengo (25).
Kamanda Shilogile, alisema inadaiwa kuwa, mtuhumiwa huyo kabla ya kufikia hatua hiyo, alimnunulia Bi. Muta, doti mbili za khanga.
Alisema tukio hilo lilitokea juzi usiku eneo la Vingunguti, jijini Dar es Salaam.
Kamanda Shilogile alisema Mtunda aliporudi nyumbani kwake, alimkuta mke wake akiwa na nguo hizo ambazo hazifahamu.
Alisema baada ya kumhoji, mke wake alikiri kuwa alipewa na mwanaume aliyemtaja kwa jina la Hussein.
Alisema Mtunda aliamua kuchukua hatua hiyo ya kumhoji kwa kuwa alijua mke wake hana uwezo wa kuzipata khanga kutokana na hali ya kifedha waliyonayo.
Alisema baada ya mahojiano hayo, aliamua kuongozana na mke wake hadi kwa Hussein na walipofika nyumbani kwake na kumuuliza juu ya tuhuma hizo, alikataa.
Hata hivyo, alisema baada kukataa, mtuhumiwa huyo aliamua kumpigia kelele za mwizi ambazo zilijaza wakazi wa eneo hilo na kuanza kumshambulia kwa silaha mbalimbali.
Alisema baada ya kuuawa, ndugu wa Mtunda walifika eneo hilo na kuanza kumshambulia Hussein kwa kipigo na kumsababishia majeraha mwilini.
Alisema kwa sasa mtuhumiwa huyo amelazwa chini ya uangalizi mkali hospitali ya Amana na kwamba upelelezi zaidi juu ya tukio hilo unaendelea.
Katika tukio lingine, mwili wa mwanaume ambaye hajafahamika jina lake anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 na 35, umekutwa kandokando mwa barabara ya Ubungo ukiwa na majeraha sehemu mbalimbali mwilini.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni Bw. Jamal Rwambow, alisema jana kuwa mwili huo ulionekana juzi asubuhi kwenye barabara ya Ubungo iendayo Msewe, jijini.
Kamanda Rwambow, alisema uchunguzi juu ya kifo cha mwanaume huyo bado unaendelea na kwamba kwa sasa mwili huo umehifadhiwa hospitali ya Mwananyamala.
* SOURCE: Nipashe
Nawakijua kwamba waafrika wana violence watahama nakwenda sehemu nyingine, sijui hapa nani anamkomoa nani.Hawa wahindi ni watu waovu ndani ya nyoyo zao.Wakishikishwa adabu wanaweza wakawaheshimu Waafrika.Mimi nazungumzia generally takriban Wahindi 99% ni wabaguzi na si kwa Waafrika tu bali hata wao kwa wao.
Sasa kama mmoja alipata mkong'oto wengine watelimika na kujua kuwa dharau si kitu kizuri.Na hilo ni somo bwana.
Yes respect is a two way street...our street has given you hospitality and accomodation.What has your side done?....nothing
FYI, the Indian Store owner SUSPECTED the local of being a thief yet he was just a regular customer who had come to spend his money. So naturally he took offense at being profiled.Even after explaining to the Indian shopkeeper what he was about, the shopkeeper kept insisting he was a thief.Thats when hell broke loose.
Sasa, tell me how did this shopkeeper arrive at the conclusion that the local individual was a thief?...or is it that all locals are thieves as you would want us to believe?
The respect from Indian storeowners is long overdue...we are not demanding respect after whooping the shopkeeper.We had started demanding it way back when....and coz its not forthcoming then we resort to this.
Kisha hio hoja ya kusema our demands will never be met is not of our concern. Lessons will continue to be taught regardless maana we already know the inner character of the asian individual...he is oput ot despise other races!
Not quite. Indians have brought modernization, aid, goods and services to East African countries. Let's not forget medical treatment provided to many in India when it is not available in their home countries. Forget the gratitude or thanks you clearly owe, just a little respect and no violence would be appreciated by many Indians.
I believe the store owner had a strong reason to suspect that the man was a thief. I mean why single him out of other locals? Why didn't he single you out? And why insist on it? I think there is more to the story than you are telling us.
I disagree!
To suspect people just because of their skin color will not get us any closer to respecting each other, unless the offender is taught a lesson.
.
Wee Manji we!!!! Strong reasons such as 1........., 2........, 3........, 4........
I did not know that Indians have the ability to determine who is about to commit crime. We're waiting to hear from you.