TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,832
- 21,623
Ndio. Imeniunganisha na watu very pottentialKumbe bado unatumia facebook?
Sawahueleweki....
Kwani kuna ubaya gani?Kumbe bado unatumia facebook?
Hata Mimi natumia Facebook. Kuna Groups pamoja na page nzuri mpaka zile za international. Tumia akiliKumbe bado unatumia facebook?
Wewe ni ombaomba?Tajiri naomba 100k
Hata mimi ni mdau wa FacebookKumbe bado unatumia facebook?
Hizo group zipo telegram na kama ni page ingia kwenye website yao...acha ushamba wa kizamaniHata Mimi natumia Facebook. Kuna Groups pamoja na page nzuri mpaka zile za international. Tumia akili
Lazima umekuja mjini ukiwa mkubwaHata mimi ni mdau wa Facebook
Pottential ipi,hyo ya kuwa tagged na mdeni wako.Ndio. Imeniunganisha na watu very pottential
Kuwa na heshima kwa watu waliokusaidia kwenye dhiki zakoUmeishiwa kodi ya nyumba unahamgaika, umezidisha miezi mitatu, madalali wanapishana kuwaleta wateja nyumbani kwako. Wateja wanaingizwa vyumbani hadi kwenye chumba unacholala.
Hatufahamiani, umenifuata PM, umenipeleka hadi home kwako, umenitambulisha kwa mkeo na watoto.
Kwa machozi umeniomba msaada mbele ya mkeo. Nikawaandia cheque ili mlipe rent ya mwaka mzima.
Sikukuambia tarehe ya kunilipa ila nilikwambia ukipata pesa nirudishie.
Sasa wewe umepata pesa, kila siku ni sikukuu. Safari za mbugani, safari za nje ya nchi na bata kama lote,sikukatazi, lakini kwanini unanitag kwenye picha zako za Facebook?
Kuwa na heshima kwa watu waliokusaidia kwenye dhiki zako
Nimesoma Bunge Primary SchoolLazima umekuja mjini ukiwa mkubwa
Maneno makali sana aisee, naona mwamba amechefukwaKuwa na heshima kwa watu waliokusaidia kwenye dhiki zako
samahani 5&6 weruweru mwaka gani?Nimesoma Bunge Primary School
Nimesoma Forodhani Secondary School
Ndipo nikaenda Weruweru 5&6
Ni mji gani unaoungelea wewe?