Mheshimiwa sana Chimbuvu......

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
Uliahidi kutoa tamko rasmi ndani ya masaa 72 kuhusu hatma ya mahusiano yako na Madame B,muda unayoyoma hivo na wewe ndo unakazia udomo zege,toa tamko bana kama unammwaga vibosile wamnyanyue wakampige sop sop Dubai,anahitaji pedeshee la kishua likampige shopping ya nguvu au ka vipi Sandton,J'burg.
 
Last edited by a moderator:
Hayo maamuzi magumu sana kwa mkongomani Chimbuvu, alikuwa anatishia nyau...
 
Last edited by a moderator:
oooh kumbe komando wa ngerengere aitwa kiplagati26? nilikuwa sijalisoma vizuri jinale! Madame B uje upelekwe Sandton au oriental plaza
ha ha ha

Madame B kafall in love na m kipsigis wa kajiado,kaambiwa ana mihela ya uchaguzi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…