Ninyi Watu Wa Musoma Si Ndio Mabingwa Wa Kudeki Barabara Za Lami ?Mheshimiwa raisi vijana wa Musoma bodaboda tunateseka sana na hii michango iliyopitishwa na mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya pamoja na mkurugenzi wa manispaa kama ufutavyo;
Sumatra tunalipa 23000
leseni ya biashara 25000
Reflectors tunauziwa 10000
Parking fee ni shilling 500 kwa siku 365 ambayo ni mwaka mzima kwa gharama hizo zote inakuwa ni mzigo mkubwa naomba utusadie
Ripa kodi bannaMheshimiwa raisi vijana wa Musoma bodaboda tunateseka sana na hii michango iliyopitishwa na mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya pamoja na mkurugenzi wa manispaa kama ufutavyo;
Sumatra tunalipa 23000
leseni ya biashara 25000
Reflectors tunauziwa 10000
Parking fee ni shilling 500 kwa siku 365 ambayo ni mwaka mzima kwa gharama hizo zote inakuwa ni mzigo mkubwa naomba utusadie