Mheshimiwa rais tuangalie huku Musoma tunateseka sana na huu udhalimu ulipewa jina hapa "kazi tuu''

leontiff

Member
Jan 14, 2016
95
94
Mheshimiwa raisi vijana wa Musoma bodaboda tunateseka sana na hii michango iliyopitishwa na mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya pamoja na mkurugenzi wa manispaa kama ufutavyo;

Sumatra tunalipa 23000
leseni ya biashara 25000
Reflectors tunauziwa 10000
Parking fee ni shilling 500 kwa siku 365 ambayo ni mwaka mzima kwa gharama hizo zote inakuwa ni mzigo mkubwa naomba utusadie
 
Poleni sana vijana lakini ndio mjue hawa watu hawana dhamira ya dhati na sisi.
 
Alishaahidi kodi za hovyo hovyo kwa wanyonge hazitakuwepo. Lakini ninyi wa boda boda sio wanyonge ni wafanyabiashara wakubwa. Ongeeni na wawakilishi wenu hapo ambaye ni Mbunge ama Diwani wao watafanyiakazi. Ila ushuru mwingine ni wa kikatiba kama leseni ya biashara na sumatra
 
Musoma, Bodaboda za huku ziko fair sana, watatoza gharama utadhani wanasimamiwa na "Sumatra"
 
Mheshimiwa raisi vijana wa Musoma bodaboda tunateseka sana na hii michango iliyopitishwa na mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya pamoja na mkurugenzi wa manispaa kama ufutavyo;

Sumatra tunalipa 23000
leseni ya biashara 25000
Reflectors tunauziwa 10000
Parking fee ni shilling 500 kwa siku 365 ambayo ni mwaka mzima kwa gharama hizo zote inakuwa ni mzigo mkubwa naomba utusadie
Ninyi Watu Wa Musoma Si Ndio Mabingwa Wa Kudeki Barabara Za Lami ?

- Huo Ujinga Hakuna Masai Wala Mchagga Atafanya. Endeleeni Kutumika
 
Mheshimiwa raisi vijana wa Musoma bodaboda tunateseka sana na hii michango iliyopitishwa na mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya pamoja na mkurugenzi wa manispaa kama ufutavyo;

Sumatra tunalipa 23000
leseni ya biashara 25000
Reflectors tunauziwa 10000
Parking fee ni shilling 500 kwa siku 365 ambayo ni mwaka mzima kwa gharama hizo zote inakuwa ni mzigo mkubwa naomba utusadie
Ripa kodi banna
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom