Mheshimiwa Peter Msigwa Live Magic FM

Nimeupenda ushauri wake kwa middle class....kuwa watu watabaka hili wanapenda kuwa spectators na kuwashauri wengine ungefanya hivi...huku wao wakijificha na vigari vyao na vinyumba vyao.....
Amewataka wajiunge na ukombozi....Chama watachagua wenyewe ila cha muhimu waingie watu wenye reasoning katika uongozi!
ASANTE MSIGWA.
 

Haya kachukuwe buku 7 lumbumba.
 
Msigwa naye huwa anaongea pointi au ndiyo kujikanyagakanyaga tu. Bora kujinywea ulanzi kuliko kumsikiliza mpuuzi huyu hatusaidii lolote siye vijana. Mambo ya kukimbizana huko mahakamani mie machinga yananisaidia nin.... Watu wengine bana.
 
..........Unafuata upepo kibwegebwege ila hujitambui tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…