Mheshimiwa JK UN speech

Jamaa..kumbe mawaziri wake wameurithi utaratibu wa kushukuru na kupongeza kama moja ya agenda za mkutano kutoka kwake!..ananyanyua glass mpaka anaifikisha kinywani bado anaongea, anasema kukomesha piracy east africa atengenezewe jela nzuri za kuwaadhibu hao maharamia!
kaniua jamaa mmoja pale dak.16:45...kampotezea Raisi wetu kwa vitendo
 
Naona kama mwaarabu yule kapotezea aliposikia habari ya ugaidi.
 
Kwa kweli JK katoa hotuba nzuri sana. Tanzania ina bahati kuwa na rais kama huyu. Huyu ni kiongozi aliekomaa na ana uwezo mkubwa wa uongozi ambao unatambulika kimataifa.
 
Kwa kweli JK katoa hotuba nzuri sana. Tanzania ina bahati kuwa na rais kama huyu. Huyu ni kiongozi aliekomaa na ana uwezo mkubwa wa uongozi ambao unatambulika kimataifa.

dumbest president ever....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…