Lai Otieno
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 311
- 90
kuna mafuso huko ya kusomba watu? shule za msingi na sec pia kujazilizia umati - Bodadoba full tanki na buku kumi kuhamasisha.
Ingekuwa fedheha kubwa kwao. Fanyeni mkutano wenu hapo Mukendo Jmosi.polisi wanazuia mkutano
viongozi wa chadema wameitwa kituoni kuombwa kuzuia mkutano
Tunangoja update.Nani zaidi kati ya Mhe Vincent J Nyerere (Mb)wa Musoma mjini na katibu wa Ccm Kinana siku ya jumatano viwanja viwili tofauti Mhe Nyerere atakuwa Mara sec na Kinana atakuwa shule ya msingi Mkendo more updates to come!