masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,922
- 13,254
Werevu kama wewe huwa mnabarikiwa kama Sugu.Upumbavu ni kipaji!
Nasikia mkutano ule haukuwa na fujo zozote ila hilo la bomu inaelekea lilisukwa.Mkutano wa Chadema Arusha kulikuwa na fujo hata wapige bomu na kuua raia na wengine majeruhi?
At last Mhe Pinda amewajibu wale waliokuwa wakihoji hoji tamko lake la kuwashughulikia kwa kuwapiga watakao leta fujo nchini.
Ni tamko linalotia moyo na kurudisha heshima ya nchi na kudumisha amani kwa nguvu yoyote ile.
Wale waliosikika wakisema nchi haitotawalika wako kimya .
Hata Yule mama Helen Bisimba hajawahi kutolea tamko huu usemi wa nchi kutokawalika, kimsimamo wa haki za binadamu maana yake nini hasa, na nchi itakuwaje isipotawalika.
Katika gazeti la Nipashe leo 29 Juni 2013, Mhe Pinda amenukuliwa:
"Nataka niwahakikishie Watanzania kuwa serikali haitavumilia hata kidogo kuendelea kupandwa mbegu za chuki na za kidini na kisiasa miongoni mwa Watanzania.
"Serikali itachukua hatua bila huruma kuzima njama hizi mbaya dhidi ya Taifa letu...na vile vile, hatua kali zitachukuliwa kwa mtu yeyote atakayebainika kuhusika bila kujali hadhi na nafasi yake katika jamii".
Wakati huo huo wengi tunajua kuwa kuna mbunge asiyejiheshimu amemtukana Waziri Mkuu mtandaoni.
Na mwingine yuko on record akisema polisi wamerushia mabomu wananchi ili wawaue huko Arusha
Sasa hapa ni patamu, maana waziri Mkuu asingesema aliyoyasema bila kuwa na background information.
Ni vizuri upande unaojisikia unakusudiwa ujisafishe haraka katika jamii, maana wamesha jipakaa tope la kusika na fujo zilzopelekea mauaji nchini.
Kwa kifupi waswahili wana sema CDM should come clean!!
PM kaongelea ishu ya mbunge kuandika matusi kwenye mtandao na mambo ya bomu Arusha au kaongelea kuhusu kauli yake ya kupambana na wachochezi
na wavunjifu wa amani?
au hapo umeamua kuunganisha habari mbili kutengeneza conclusion?
Wenye upeo kama wewe hata wazazi wenu walishawasusa.Upumbavu ni kipaji!
Kaa na wajukuu umezeeka,na mkeo yule watano anakutaka nyumbani.Mbona angesema hivyo watu wala wasingempigia kelele? au ana kumbukumbu kama za kuku?
Kweli UPUMBAVU NI KIPAJI,tuna mshukur MP kwa kulitolea ufafanuzi!Mbona angesema hivyo watu wala wasingempigia kelele? au ana kumbukumbu kama za kuku?
Mbona angesema hivyo watu wala wasingempigia kelele? au ana kumbukumbu kama za kuku?
Kaa na wajukuu umezeeka,na mkeo yule watano anakutaka nyumbani.
Tunataka kama PM yupo serious na kauli yake basi pia achukue hatua dhidi ya Lipumba ambaye ameshiriki kueneza chuki za kidini kupitia misikitini. Na pia achukua hatua za haraka dhidi ya Mwigulu Nchemba ambaye anamtembeza na kumdhalilisha yule kijana Tesha na kupandikiza chuki za kisiasa katika jamii kwamba CHADEMA wanamwagia watu tindikali ilihali hakuna ushihidi wa dhahiri isipokuwa wa polisi kupiga watu na kuwalazimisha wakubali kwamba walimwagia tindikali.At last Mhe Pinda amewajibu wale waliokuwa wakihoji hoji tamko lake la kuwashughulikia kwa kuwapiga watakao leta fujo nchini.
Katika gazeti la Nipashe leo 29 Juni 2013, Mhe Pinda amenukuliwa:
"Nataka niwahakikishie Watanzania kuwa serikali haitavumilia hata kidogo kuendelea kupandwa mbegu za chuki na za kidini na kisiasa miongoni mwa Watanzania.
"Serikali itachukua hatua bila huruma kuzima njama hizi mbaya dhidi ya Taifa letu...na vile vile, hatua kali zitachukuliwa kwa mtu yeyote atakayebainika kuhusika bila kujali hadhi na nafasi yake katika jamii".
Kwa kifupi waswahili wana sema CDM should come clean!!
hiyo nafikiri ni kazi ya mwigulu!