Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Funguka tu wewe ulitaka kusema nini? wacha kuzunguka, unataka kusema makonda anajua kilichomuua? makonda ni mlezi wa chama cha madereva na ndiye aliyepigania kuhakikisha kinasajiliwa hivyo huu msiba unamhusu kwa karibu.
Na yeye ni cid???