Duh... kazi kweli kweli!Huyu jamaa alikuwa mzibua vyoo uwanja wa ccm kirumba mwanza,miaka 4.nashangaa huo uzoefu wa siasa kuupata wapi!ndo maanna analazimisha. Pussy i mean paka
Namkubali sana huyu jamaa... na kwa fununu naskia yu miongoni mwa mawaziri watarajiwa.. namfahamu au kumsikia kupitia bungeni.. Napenda nimjue kiundani.. wadau mwenye kumfahamu zaidi au mwenye CV yake ya ukweli pliiz anianikie hapa niisomw na kwa faida ya wengine pia.
Mkuu unamjua kumbe!!Wewe mbumbumbu ndiyo Masele mwenyewe unajifanya eti unamuulizia eti Masele, yaani unajipigia debe tu hapa. Wala wana JF musichangie hiyo mada