si kwamba namchukia Lissu, Nachukia mtindo wa siasa zake na nawachukia nyie mnaompambisha kinafiki wakati hamjui amepgiwa kura na watu wa jimbon kwake tu, we na kiherehere chako huna uwezo wa kuja kumchagua labda umwambie aje huko kwenu, unless 2015 atakiona.
si kwamba namchukia Lissu, Nachukia mtindo wa siasa zake na nawachukia nyie mnaompambisha kinafiki wakati hamjui amepgiwa kura na watu wa jimbon kwake tu, we na kiherehere chako huna uwezo wa kuja kumchagua labda umwambie aje huko kwenu, unless 2015 atakiona.
Umenena
Lisu next uchaguzi hataweza kushinda,tupo na tutaonaBravo lisu,liberation is not a short time process,acha akomboe taifa even if itahitajika kujitoa sadaka na kuteseka sana
Lisu ni level ya taifa hayo ya vijiji fanyeni na nyie kuweni na uchungu na kata zenu pia
We need Lissu more on National level,You can have another CCM lunatic to screw you for another fiver years if you want we don't care!!!!
Inaonekana kwasasa hamna uwezo tena wa kujibu hoja bali ni kumtishia kuhusu jimboni kwake. Kwa taarifa yako maendeleo yanaletwa na serekali kupitia kodi za wananchi na mbunge kazi yake ni kuwawakilisha na kuwasemea wananchi wake bungeni. Hebu tupe tofauti ya kimaisha ya jimboni kwa mbunge yoyote wa ccm ukilinganisha na kwa Lissu hapo tutajua unaongea nini. Maana nijuavyo shida ya maji iko sehemu kubwa ya mkoa wa Singida regadless Ni kwa Lissu au kwa Mwigulu, shida ya pembejeo ni kwa wote sio kwa Lissu au Kwa Dewji, shida ya madawati, zahanati kukosa dawa kunafanana sasa wewe unayejifanya mpiga kura wake una lipi la kumtishia?Sawa kabisa, ila kuwakilisha na kuongoza jimbo ameshndwa, hata huko kitaifa hataweza zaid ya kujichanganya tu, utawezaje kuongoza taifa ktk mambo makubwa na magumu kama umeshndwa ya jimbo?
Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko.
Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.
Sawa, ila mnaodhan yeye ni level ya taifa basi aachie jimbo awe mwanaharakati na sio mbunge, mnawaona wapga kura wake wajinga? siku inakuja nayo yaja upesi, mi ni mwanachama hai wa Cdm ila sijalewa sifa za chama kiasi cha kujisahau kua chama kwanza jimbo badae, mnampotosha.
Sawa kabisa, ila kuwakilisha na kuongoza jimbo ameshndwa, hata huko kitaifa hataweza zaid ya kujichanganya tu, utawezaje kuongoza taifa ktk mambo makubwa na magumu kama umeshndwa ya jimbo?
Matrumbu akho....Lissu tumempa Uchifu hapa Ikungi, tafuta gazeti la Tanzania Daima la tarehe 11 May 2014.