Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,031
- 4,408
Una CPA au ni Acc technician tu?
mimi ni acc.technician lakn najua kuvitengeneza vyote alivyo orothesha mkuu hapo juu pamoja na vingine kivitendo kuliko hata hao wenye cpa....ninao wengi tu hapa ni watupu kichwani.
mimi ni acc.technician lakn najua kuvitengeneza vyote alivyo orothesha mkuu hapo juu pamoja na vingine kivitendo kuliko hata hao wenye cpa....ninao wengi tu hapa ni watupu kichwani.
sijui kwanini hujiamini. usiishi kwa kuponda watu ndio uwe juu,jisifie wewe ndio uwe juu bila kuponda mtu. Afu watu msio na CPA mnatabia ya kuponda wenye CPA na kuwaona hawana kitu na ndio mnakuta mnawatenga maofisiini.
ungesoma professional code of ethics usingekuwa na akili mgando hivyo
Acha majigambo huo uzoefu ni kitu cha kawaida hao unaowadharau ni zaid yako.nenda shule kwanza uzoefu ni baadae utabaki kulalamika tu wenzako wanapanda juu!mimi ni acc.technician lakn najua kuvitengeneza vyote alivyo orothesha mkuu hapo juu pamoja na vingine kivitendo kuliko hata hao wenye cpa....ninao wengi tu hapa ni watupu kichwani.