Iwe fundisho kwa waandishi wengine wa habari wa aina yake,wajue watanzania wanaumizwa na uandishi wao
wa kutetea ufisadi na kukwepesha ukweli,il hali watanzania sasa hivi wanajua ukweli halisi,waandishi msifikiri
mnaweza kuwafool watanzania kwa kalamu zenu.Ni kwa mara ya kwanza naona watu hawasikitishwi na msiba.