Leonileo8809
Member
- Dec 23, 2012
- 18
- 2
Kaimu mhandisi wilaya TRM Kassim Shabaan ametokea kudhihirisha usemi kuwa huwezi fanya kazi halmashauri bila rushes ukaendelea.
Jamaa kapelekwa majuzi tu lakini kajenga nyumba eneo la Tagota, thamani 150m, duka kubwa vifaa vya Umeme, na kaingiza rv4 Imesajiliwa majuzi tu CSN.
Kwa ukwapuaji huu jamaa atakuwa bilionea akikaa.