Lete ushahidi wa takwimu zakoAlianza na matumaini, sasa kwisha! Kunani? Ujenzi holela umeshika kasi, kurasimisha makazi project shelved?????? migogoro ya ardhi ndio imepamba moto!
BASI NITAMUULIZANenda kamuulize pale wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Nenda kamuulize pale wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Tunamuulizia atusaidie maana alianza vizuri kwenye ardhi. Hakuna mwenye wivu. Lukuvi amekuwa mtendaji mzuri bila mambo ya show off kama wengine.Watu wivu tu
Mkuu njoo hapa ofisini tuwawekee mtego. siku hizi rushwa ni uhujumi uchumi NO DHAMANANadhani idara ya ardhi Mbeya ndio wanaongoza kwa rushwa na upuuzi katika kazi, wameivuruga sana Mbeya. Mi naomba Lukuvi awatembelee naona wanakula bila kunawa pumbavu sana
Naomba kifungu ambacho kinasema uhujumu uchumi hauna dhamana. Nimesikia sana hilo, nisaidieMkuu njoo hapa ofisini tuwawekee mtego. siku hizi rushwa ni uhujumi uchumi NO DHAMANA
Retired. Wewe ushajizehekea na kustaafu rushwa utapewa na nani ? Anyway nakutumia kwa manufaa ya wajukuu wako.Naomba kifungu ambacho kinasema uhujumu uchumi hauna dhamana. Nimesikia sana hilo, nisaidie
Nimeona lakini sijaona mahali kuwa hakuna bail! sijaona!Retired hii hapa
Sasa wewe unaleta kejeli, ungejua kuwa siko kama unavyinifikiria na labda nakuzidi in several aspects of law ungeliniheshimu kidogo.Retired. Wewe ushajizehekea na kustaafu rushwa utapewa na nani ? Anyway nakutumia kwa manufaa ya wajukuu wako.
Jana tu alikuwa na makamo wa rais sijui wilaya gani na akatatua mgogogoro wa ardhi kati wafugaji na wakulimaAlianza na matumaini, sasa kwisha! Kunani? Ujenzi holela umeshika kasi, kurasimisha makazi project shelved?????? migogoro ya ardhi ndio imepamba moto!