abdulrahim
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 408
- 286
watu wanapawsa kuelewa tu hili na kuacha kuleta blabla zao kwenye mambo ya msingi,heri nusu shari kuliko shari kamili ni bora tuanze upya kwa manufaa ya kizazi kijacho hata kama itatugharimu lakini sio kuachie haya majaamaa yaendelea kutunyonya damu.Hawa jamaa hawana uzuri saana kwetu, Siku zote ni watu wa maslahi yao kwanza..
Muanze upya wakati ndio nyie nyie mmetufikisha hapa tulipo??? Mkataifishe mali za wote waliotufikisha hapa tulipo akiwemo huyo chenge wenu hadi mkapa mpaka dhaifu sio mnasema tunaanza upya wakati waliotufikisha hapa hapa tulipo bado wapo sehem ya hayo "MWANZO MPYA"watu wanapawsa kuelewa tu hili na kuacha kuleta blabla zao kwenye mambo ya msingi,heri nusu shari kuliko shari kamili ni bora tuanze upya kwa manufaa ya kizazi kijacho hata kama itatugharimu lakini sio kuachie haya majaamaa yaendelea kutunyonya damu.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki JPM.
Mkuu huna hoja utasemaje akae pembeni wakati lisu amekuwa akipambana na wezi wa madini toka akiwa kijana mdogo hadi analala selo kila siku kule nyamongo na buhemba???? Alitoka hadi nje siku mnapitisha muswada kwa hati ya dharura huku magufuli akibaki ndani na alipiga kura ya Ndiooooooo then baada ya kumzomea na kumpuuza leo yamewakuta ndio mnatala akae kimya!!! Hapana hapana serikali mmeongea yenu acha opposition nao watoe maoni yao afterall nyie hamna moral authority ya kumkemea lisu maana ndio mmetufkisha hapa tulipoSawa tuwaaache Mapimbi mpaka 2020..Zamu yenu bado!!
Akosaye huadhibiwa msituletee ngonjera zenu hapa.watu wanapawsa kuelewa tu hili na kuacha kuleta blabla zao kwenye mambo ya msingi,heri nusu shari kuliko shari kamili ni bora tuanze upya kwa manufaa ya kizazi kijacho hata kama itatugharimu lakini sio kuachie haya majaamaa yaendelea kutunyonya damu.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki JPM.
Wapo kwenye chama chenu kwani??? Nmesema huwezi taka kuanza upya huku bado hao waliotufikisha hapo ni part ya MWANZO MPYA kumbuka chenge ni mmojawapo ila bado ni mwenyekiti wa bunge!!!! Hao kina mkapa na kikwete mtaifishe mali zao maana ndio wana final say sio mnaleta maneno maneno huku watu walijimilikisha hadi vimgodi huko......... baada ya hapo ndio muanze upyaWewe mwehu kabisa, mbona hujamuuliza Lowasa na Sumayi?
Ndio waliosainj mikataba ovyo namna hii na wawekezaji????Machadema majizi yanashirikiana na ACACIA
We darasa la ngapi? Mh, tunasafari ndefu kama ndio nyinyiHabari wakuu!!
Ninavyofahamu Mimi kwa upeo wangu mdogo pale MTU binafsi unapodhulumiwa haki yako nazani kila mmoja hujisikia vibaya na utapambana kwa hali yeyote uipate haki yako hata kama yule aliyekudhulumu alitumia sheria kukunyang'anya haki yako..
Najua fika kwamba haki inayoliliwa sasa na SJMT kutokana na makosa yaliyofanyika hapo nyuma itatugharimu saana kwani mchukua haki ana Nguvu kubwa mnooo..
Watanzania tufike wakati tuachane na UNAFIKI...hivi unazani wakati wa biashara za utumwa Mkoloni aliwahi waza kwamba anadhulumu? Nina imani kama angewaza hivyo Africa tusingekuwa hapa tulipo.
Hawa jamaa hawana uzuri saana kwetu, Siku zote ni watu wa maslahi yao kwanza..
Ktk hili namuunga mkono CinC wetu 100% hata kama tutarudi nyuma kama wazimbambwe Nina imani sisi wabongo ni wajanja zaidi ya Wazimbabwe..
Mh. Lissu naomba utuache kwanza kama vipi nenda Mjengoni ukampe mkuu mkakati wa kudai haki yetu.
Tatizo mkuu hata namna ya kujinasua hapa strategy inayotumiwa ni ya hovyo. Hali it aka yote peke kea hasara zaidi huko mbeleni.Lawama kwa sasa sio sahihi hebu kwa pamoja tujisahihishe tulipokosea tayali mkuu ameshaonesha ana nia njema na taifa hili
Sisi kwa nafasi zetu kwa weledi wetu wa elimu tulizonazo mnasaidia vipi tutoke kwenye dhuruma hii
Tuache vijembe vya nani alipigana vipi huko nyuma
Swali ni je tunatokaje humu bila kusababisha taflani?
Anayenielewa hebu aje hapa na mwelekeo mpya