Mkumbapanya
Member
- Jan 2, 2013
- 66
- 15
unamanisha mgimwa katoka ulaya akafikia hotelini kisha apewe ubunge na kisha apande pipa huyooo mpaka ulaya tena kula bata kaazii kweli
kaazi sana, ndo utawala wakifalme! ambao unakaribia jimboni kwetu
Wakati huu ni wakati wa vijana huyu mama akalee wajukuu wake tu hakuna jipya.
Huyu huyu mkuu anaweza atatenda kama ilivyoandikwa huyu mzee hapana tunataka vijana mkuu bado vichwa vinafanya kazi.Unamaanisha kijana gani kaka...? Ni huyu mzungu wa UK?
Eti tendega sijui jina gani hili halafu anataka kuwa mbunge bure kabisa.
be mwagito, Uyu Mwamgimwa sawesa nda. Apilukage juvasungu!Huyu huyu mkuu anaweza atatenda kama ilivyoandikwa huyu mzee hapana tunataka vijana mkuu bado vichwa vinafanya kazi.
Wakati huu ni wakati wa vijana huyu mama akalee wajukuu wake tu hakuna jipya.
Habari ya Jioni wanajamvi,
Jimbo la Kalenga lina historia ya kipekee katika nchi yetu,ni jimbo ambalo haijawahi tokea mbunge akatawala vipindi viwili mfurulizo,pia ni jimbo ambalo halija wahi pata mmbunge Mwanamke,pia ni Jimbo ambalo kiuchumi lilikuwa juu kitaifa ,kutokana na kutoa mahindi,nyanya na kabichi hasa maeneo ya Magulilwa,Mgama,ng'eza, lyamgungwe,ihemi na sehemu nyingi jimboni pale,ingawa kwa sasa kiuchumi linashuka kwa kasi ya ajabu,nashukuru Chadema wametambua hili mapema nashukuru naambiwa wameweka kambi kwenye kila kata,namshukuru mgombea kuwa ni mhehe halisi anajua mila za kihehe na anajua wahehe wanataka nini!!lakini kwa wahasimu wao yaani Ccm wao wameweka kambi pale Ihemiingawa mgombea haieleweki anaishi wapi! wengine wanasema amefikia Iringa mjini na anaishi hoteli,!
wanajamvi Je yupi ni bora?? na tumsaidiaje ? ili aweze kurudisha Heshima ya Jimbo la Kalenga??
i humbly submit
Huyu huyu mkuu anaweza atatenda kama ilivyoandikwa huyu mzee hapana tunataka vijana mkuu bado vichwa vinafanya kazi.
Eti tendega sijui jina gani hili halafu anataka kuwa mbunge bure kabisa.
Uhalo huu.......
Wakati huu ni wakati wa vijana huyu mama akalee wajukuu wake tu hakuna jipya.
Mama Tendega ni mbunge anayesubiri kuapishwa ili awatumikie wanaKalenga