Wengi huku kwenye mitandao ni vijana ambao hawana muda na chama cha kizee. Ndio maana mnakazana kuanzisha post zaccm watu wanazipotezea tu. Nyie andaeni jeshi kuwaingiza madarakani ila kwa kura mmeumia. Mmekuwa jongoo mpenda watu na watu hawampendi juu.