Tena BRELA kaofisi ka Mwanza ni kama kijiwe tu sijui walipewa vp ofisi hapo kwa mkuu wa mkoa bora wangeenda kukaa milimani huko.Jamaa wapo kama hawapo kazini ni kukamilisha ratiba tu.Kuna mtu anaitwa Kobello huyu jamaa majibu yake na customer care utadhani yeye ndo CEO,anaongea ana hearphone masikioni.Mh Mwijage fumua kabisa hakuna uchumi wa viwanda bila BRELA yenye weledi.