Kuna mambo mengi tuna kiu ya kuyatimiza ili kusonga mbele kama taifa ila hali yetu kiuchumi haituruhusu. hii inatufanya tuwe tunarandaranda kuomba msaada na hapo ndipo tunapopigwa.
Nashauri wataalamu wako waandae proposal kwa ile miradi mikubwa yenye hela ambayo tumeshindwa kuianzisha na ambayo tunajua ndio inayoliingizia mapato makubwa taifa.
Leta hiyo proposal, anzisha fund rais in form of hisa. kuna watanzania wenye hela, watachanga katika mfumo wa hisa na miradi/Viwanda kama smelter,general tyre etc
vitaanzishwa.
Miradi hii wapewe vijana wako wa usalama na jeshi waisimamie then kuwe na timu isiyofahamika(itakuwa inabadilishwa kila mara ili
isizoeleke). wananchi watanufaika kwa gawio la faida inayopatikana.
HATA MIMI MASKINI NITAJITUTUMUA NINUNUE HISA ZA 20000 NA HATIMAYE TUTAPATA HELA ZA KUTOSHA
Usiku mwema wadau