Mh Rais Mzee Magufuli na Uchumi wa Viwanda: Sehemu ya kwanza

Dr Mathew Togolani Mndeme

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
201
808
tk
 

Attachments

  • 1236033.jpg
    1236033.jpg
    34.8 KB · Views: 150
  • Mojawapo-ya-kiwanda-cha-vinywaji-nchini.jpg
    Mojawapo-ya-kiwanda-cha-vinywaji-nchini.jpg
    182.8 KB · Views: 160
Imetulia mtani wangu mada yako mimi nimekuelewa ila wewe siyo wa kwanza mzee hasikilizi/haambiwi/hajaribiwi/hashauriki yeye ni mbele kwa mbele dereva wa lorry mzuri ametuhakikishia tutafika salama wakati kwa mada yako hajui ametoka wapi n.a. atakwenda wapi n.a. kama lorry lake lina mafuta ya kutosha. Building casels in the air.
 
Sipingi moja kwa moja ndoto ya viwanda ya rais lakini naona ni ndoto ya binafsi sana iliyokaa kisiasa zaidi na kutumia nguvu zaidi kuliko mikakati madhubuti. Kwangu mimi huwezi kuniambia unajenga uchumi wa viwanda bila kuimarisha kilimo kwani nataraji malighafi nyingi zinatokana na kilimo. Lakini naona kinachofanyika ni kuhubiri ndoto ya viwanda kisa rais kasema, na ukiwauliza wasaidizi wake mkakati uliopo hawana dira sahihi zaidi ya kukuambia unataka kukwamisha dhamira njema ya rais hivyo kaa pembeni usitucheleweshe!!! Anyway wacha tujaribu hicho anachokitamani lakini nina mashaka na uendelevu wa ndoto hiyo kutokana na kukosa mipango madhubuti zaidi ya kuwa kick ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom