Mh.Rais Magufuli songa mbele waache sindano iwaingie pole pole

Stream line

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
393
239
Mh. Rais wangu, kwa kugushi huku nilikokuona mpaka Aux.Police tena UDSM kazana. Binafsi ninajua wapo wanaotumia vyeti vya marafiki zao na wameajiriwa serikalini. Bado wapo. Nchi haiendi kwa kuwa wasio na taaluma wameishikiria kama wasomi. Wanawadharau wasomi mno.

Ni wezi kama wezi wengine na ni mafisadi kama fisadi wengine. WAPO. Wenye division zero WAPO. Mimi nawajua hao. Na mchezo huu wa zero kwenda polisi pia kwa vyeti feki WAPO. naomba nikomee hapa. Wenye elimu walishaonewa mno.

Usisahau kukimulika kitu kinachoitwa Law school, kule wana enroll wanafunzi
zaidi ya 500 kumbe lengo ni kupasisha 70 tu, wezi hao kifutwe wasomi wa sheria wawekewe utaratibu wa zamani wa internship, hakuna wanachosoma pale, walimu ni maadvocates waliozoea kuhairisha kesi watasomeaha nini watu bao?
 
mtanisamehe Wa tz wenzangu. ukweli ndo huo
Uzi wako ungekuwa na hoja nzito kweli sema umeileta kishabiki na kihuni sana mara sindano iwaingie??? Mipasho imeharibu uzi wako na uneshaonekana mtu asiye makini.

Edit heading yako uwe kma great thinker kweli
 
Back
Top Bottom