Mh Rais Ni kweli kuwa umeonesha dhamira ya dhati kwa watz ya kupambana Na rushwa Na ufisadi, Naomba kabla ya muhula wako kuisha, utuletee katiba mpya yenye maudhui ya rasinu ya Mh warioba. Ni hayo tu mkuu
katiba mpya ilifaa kuletwa wakatu ule ule wa jk kwa tabia yake ya kucheka Cheka na mafisadi na uongozi mbovu, lakini kwa umakini wa jpm katiba hii ya sasa inatufaa tu, labda hadi hapo 2025 atakapo kuja rais mwingine atakae kua km jk ndo tukumbushie katiba ya warioba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.