Mh Rais, bei ya sukari ni Tsh. 3000

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,388
Reaction score
6,482
Tumejifunza nini? Bei ilikuwa Tsh 1800, kabla ya Rais kuingilia kati, sasa ni 3000 Tsh. baada ya kuingilia kati. Kuna la kujifunza hapa, tumejifunza nini?

Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app
 


Mashine hii hapa nzima kabisa nataka M5
 
Kama nyakati hizi ukiusikia wimbo wa Lady Jay Dee wa Natamani kua Malaika.
Una mistari kama...

Natamani kua malaika,
Natamani kurudi nyuma,
Natamani kurudi tena mtoto,

Na ukaupenda na kutamani kurudi nyuma, jua hauko peke yako.
 
Kama nyakati hizi ukiusikia wimbo wa Lady Jay Dee wa Natamani kua Malaika.
Una mistari kama...

Natamani kua malaika,
Natamani kurudi nyuma,
Natamani kurudi tena mtoto,

Na ukaupenda na kutamani kurudi nyuma, jua hauko peke yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Kwa vyakula vinavyoweza kutumia mbadala wa asali badala ya sukari, ni vema ukatumia asali. Ni nzuri kwa afya halafu sasa hivi zinazidi kuwa afordable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…