Mh. Ngeleja yuko wapi?

Watu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Posts
3,231
Reaction score
1,472
Naomba kuliza

Waziri wa nishati na madini Mh. W ngeleja yuko wapi? Awezekujibu swali hili?

Je mafuta tatizo ni formula tu au kuna jingine?

Kama ni formula? Kilichopunguzwa ni kodi na tozo za serikali kuondolewa ni kwa nini wafanyabiashara wa mafuta walie hasara wakati anayepungukiwa ni serikali?

Je ni kweli kwamba faida ya biashara ya mafuta ilikuwa inatokana na uchakachuaji? Baada ya kodi ya mafuta ya taa kupandishwa na uchakachuaji kufa auto death ndio wafanyabiashara wamerudi kwenye formula na kuona hailipi?

Je bajeti yako ya 13/08 itapita?

Ni hayo tu kwa leo nawakilisha
 
wizara iliyojaa rushwa na wizi wa hali ya juu....Nishati na Madini...no wonder kila sekta ya Wizara hiyo inakwama...na bado magumu yaja zadi mbeleni
 
Masikini Ngeleja. Anawakati mgumu. Budget yake huenda ikakwama tena. Ni miongoni mwa wizara zinazonuka rushwa katika kiwango chake. Angekuwa na busara angejiuzulu ili ajijengee mazingira ya mbeleni.
 
Hali ni mbaya - anatafakari mustakabali wake.
 
 
 
Jameni kwanza nawasalimu wanajamiiforums wote. Leo nimeamua kujitosa ingawa natumia kijinga cha moto kuandika ujumbe huu. Huyu m2 ngeleja hakujua kuwa aliuziwa kauziwa mbuzi guniani. Me naomba serikali itoe tamko kuhusu giza la nchi hii. Jeygay anacruse kwa vile hapati hii tabu.
 
 
<br />
<br />
 
 

Hayo maswali unataka WanaJF wayajibu au Ngeleja mwenyewe?
 
mimi nafikiri kuwe na collective responsibility kwa serikali nzima na siyo ngeleja peke yake after all matatizo yote haya ni ya kurithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…