JUDITH MGASSE
Member
- Jun 5, 2012
- 17
- 4
Jana Bunge liliboa sana hasa huyu mheshimiwa kuonesha upendeleo wa waziwazi! mh Manyanya kaizungumzia hoja ambayo iko mahakamani ingekua ni upande mwingine ungesikia hoja iko mahakamani! ila sisi kama wananchi mwigulu umeiaibisha CCm kwa kuonesha kushindwa kwa hoja na hivyo kukitumia kiti kidikteta hata mimi ambaye sina itikadi zozote za kichama nilikasirishwa jana!
Wewe unatanga kuwa una duka siyo, ehe tuambie unauza nini na nini?Leo nimemuaona (bila kumsikia) akitoka mapovu kwenye TV ya dukani...........sijui alikuwa anawaka nini!
Wewe unatanga kuwa una duka siyo, ehe tuambie unauza nini na nini?
Falling kingdom i.e CCM ,, viongozi wasiokuwa na foresight kama akina Mchemba hatimaye ndo watashikwa uchawi wakati chama kitakapokuwa kimeangushwa 2015. Atakuwa answerable kwa kila ujinga na ufidhuli wa Chama hapa namfananisha na wale waliokuwa karibu na Gaddafi ambao walijidanganya kuwa bado Gaddafi alikuwa rais wakati nchi nzima ikiwa mikononi mwa waasi na hivyo wakafa siku aliyokufa Gaddafi kwa sababu tu ya ujinga wao.
Ambaye hana itikadi yoyote hawezi kuchangia kama ulivyoanza, umesema jana mheshimiwa alipendelea wazi wazi ni dhahiri una upande fulani ambao uliona umeonewa na ndiyo huko uliko. Acha wale tusio na upande wowote tuangalie bunge ili tujue ukweli wa mambo yanavyokwenda kwani vyama vya upinzani vilijisahahu vikafikiri vyenyewe havina makosa pale ambapo wenzao wa CCM walipokaa kimya, sasa wamemua kujibu mapigo wanaruka sarakasi.
Kumbe Wanzania wanakufa kwa kukosa matibabu kisa siasa bwana.
wabunge wa ccm nimeamini hawajui wanakuwa bungeni kuchangia nini kwenye bajeti maana kila anaeamka anasema chadema wabaya,sasa ubaya na uzuri wa chadema unahusiana na nini kwenye bajeti?ibariki bunge