Mmakonde,
Napata wasiwasi kuwa hutoi hoja ila unalalama tu....kulikoni? Kwa nini usiweke hoja watu wajadili? Nina imani pengine unayo hoja lakini hujaipa nafasi. Mwalimu Nyerere alituasa kuwa "Argue, Dont shout"
Sheba,mwenzako mambo ya Nyerere nilishaacha siku nyingi.tangu niliposikiliza Ujumbe wa Leo na baba yangu,saa mbili na robo tukila ugali,ilikuwa propaganda ya nguvu.sasa nimejikomboa,i am free man.Tanzania tunasuffer na viongozi ambao wanafurahia matunda ya Nyerere.Tukumbuke Mkapa,ndio Nyerere alitupa.Kumbuka Nyerere hakukubali hoja,waulize akina Kambona,Mtei,Mapalala,Fundikira na wengineo wengi.
'Zidumu Fikra za mwenyekiti wa Chama' ndio tuliambiwa tuseme.
Kuhusu Diaspora,nimetoa hoja yangu,kuwa akina Membe toka SISIEM ni morons,hawana chochote cha kuwaambia Watz ambao wengi ni wapiga box,hawana ufisadi,ni kufanya kazi na kusupport family zao.
Nimesema kuwa huyu Prof . wa UDSM naye anajiingiza kwenye mkumbo huu bila ya sababu?ndio hapo uduni wa elimu yetu unaonekana.Huyu kama kweli ni Prof. wa maana ,tungesikia anakuja kutoa lecture kama visiting Prof.wa say UCL,LSE etc,SIO kukamata taxpayers money na kuja kutoa porojo za kibongo kwa wasanii wa UK na wanasisim.
Kwanza anakishushia hadhi chuo kikuu cha UDSM !