Mh! Maji yamenifika shingoni


Mkuu nilifeli shule.
 

Wenye kuelewa wameelewa, ikiwa hujaelewa rudia kichwa cha habari maelezo achana nayo.
 

Kweli mkuu.
 
Sijui huu ugonjwa utatibiwaje ila naona unashika kasi ya kutisha.

Hivi siku hizi hamuwezi kuachana 100%? Naona kuna watu wanataka kuachana robo au nusu, mtayaweza?
 

Nini kimekuaminisha kuwa msichana huyu alijkuwa wako?
 

Achana na huyo mwanamke maana hajitambui. Endelea na ulie nae sasa na umsahau kabisa huyo mwehu.
 
Wenzio wanachapiwa usiku! Wewe mchana kweupe kiivo? Pole dagaa
 

mkuu acha kututania apa,
kweny ule uzi wako mwingine si ulisema uko kweny ndoa mwaka wa tatu? inamaana ushasahau kua iliipost na hii?
aisee mnachosha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…