Mh Magufuli tumbua tu hata kama wana 'kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa'

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
5,480
6,833
Hivi karibuni kuna mwanasiasa aliyekupinga na kukuona hufai na hadi kuhama chama chako eti amerejea tena huku akikusifu kwa maneno mazuri yaliyotiwa harufu ya maua mazuri. Mzee usibabaishwe na maneno, endelea kutumbua majipu bila kujali yako wapi kama usemavyo mara kwa mara, hata kama yanajifanya kurudi ndani ya chama chako. Wanadhani wakirudi ndio utawalegezea kamba, ikiwezekana wajute maana wanataka kukuchezea.. wengine walidiriki hadi kutukana wazee wastaafu na watu waliolitumikia taifa hili leo wanajifanya kukusifia
 
Back
Top Bottom