Mh. Lucy Mayenga amzodoa Kikwete Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Lucy Mayenga amzodoa Kikwete Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Jun 30, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Leo nimegundua kumbe nilikuwa siwaelewi baadhi ya wabunge wa ccm wanaomsifia Kikwete. Kabla sijenda kwenye topic, nimjibu mh Mayenga aliyewatuhumu wakala wa mbegu tz kuwa hawajawahi kukaa kikao hata ki1 na jkt pa1 na kuagizwa. Dada yangu hawajakaa kwa sababu hawajapewa sitting allowances.
  Sasa nije kwenye topic. Dada Mayenga kaanza kwa kumpamba Kikwete kuwa ni mpole, mwema, mvumilivu, hana kinyongo wala kisasi. Akasema kuna waziri alishawahi kumuambia kuwa angepewa kukaimu urais kwa wk 2 tu, rais akirud atakuta amemweka ndani kila mtu. Mh Mayenga akaendelea kuchangia na akafika mahali akawa anawatuhumu watendaji wa serikali wabadhirifu na wasiofanya kazi. Ndipo akasema, UNAPOKUWA NA WATENDAJI WASIOWAJIBIKA NA WABADHIRIFU KAMA TULIO NAO SASA, KWA KWELI HUWEZI KUVUMILIA USIWAWEKE NDANI, KAMA ALIVYOSEMA YULE WAZIRI.
  Kufikia hapo nikagundua kumbe zile sifa za upole alizoanza kumpa Kikwete ni sawa na kusema analea wabadhirifu na wazembe.
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Jk alifaa kuwa mhubiri wa dini na si rais. Anaongea kwa kuwasihi wahalifu watubu dhambi na kujirudi badala ya kuwashughulikia kisheria.
   
 3. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kuna wakati ni ngumu sana kutofauti kati ya upole na ujinga, maana wajinga wengi ni wapole na wasikivu kutokana na udhaifu huo.
  kuhusu jk ni wazi sio mpole kuna kitu anapungukiwa ndio maana anaonekana ni mpole
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Umemuua Mk.were
   
 5. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kabisa mkuu...
   
 6. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hata ukimwangalia tu utajua ana tatizo kubwa alikuwa kiongozi wa wakati wote huo nashindwa kuelewa
  jamaa yuko LOW SANA
   
 7. Rais2020

  Rais2020 JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2017
  Joined: Jul 14, 2016
  Messages: 3,304
  Likes Received: 5,436
  Trophy Points: 280
  Makaburi yafukuliwe ili kuangalia mwenendo wa huyu MBUNGE wa kiti maalumu
   
Loading...