MH,LISSU MATATANI CHADEMA

Divide and rule is an old trick in public admin.
 
Naomba kumlinda Nyarukururu, kuota mchana pia inaruhusiwa na kuiandika ndoto yako kama opinion yako!.

Hii ndio freedom of expression na everyone has the right to his/her own opinion!.
Uhuru nyingine zote zina mipaka, ila uhuru wa kufikiri, ndio uhuru pekee ambao hauna mipaka, mtu uko huru kuwaza chochote na kufikiri chochote japo sio kuandika chochote!, ila ukieleza kuwa ni ndoto, then uko huru kuandika chochote hata kuandika kuwa umeota yule jamaa hafiki 2020, I mean yule Kila.za!.

Pasco
 
chadema tusimame imara. na sio kila baya litakalo tokea litakuja kwa nia mbaya ila nikutufundisha.
 
Nonsense, ndiyo maana nasema humu kuna kila kitu, chagua usome nini!
 
"..au hata kumupigia magoti Zitto kabwe"
 

Nasikitika ulie andika ili bandiko huna chakula cha ubongo.


Ova
 
vp ile ramli yenu kuusu kamanda John John Mnyika Maruhani yenu haya kufanya Kazi?

Mtaangaika sana Mwaka huu. Badala ya kufokasi kwenye Tanzania ya viwanda mnajikita kwenye Ramli!
 
unawaibisha WAKURYA mwanaume unakuwa mbea mbea hivyo bora wakubadilishe jina uwe unaitwa GHATI AU BHOKE
 
Uvccm ya siku hizi wamekosa ubunifu kabisa, mtoeni huyo shaka anawaharibu akili wote mtakuwa na tabia kama zake
 
Hili la Lissu kuwa maarufu kuliko viongozi wake lina maswali mengi kuliko majibu. Kwa hakika Lissu anaonekana kuwa na misimamo ya kiharakati kuliko viongozi wengine wa CHADEMA. Nadhani anafanya mambo yake kimkakati zaidi.
Obviously bwana lissu lazima aonekane ni maarufu kutokana na nafasi yake kwenye chama. Yule ndio Mwanasheria wa chadema kwa maana ingine ndiyo" engine" ya kuendesha na kusimamia mambo ya kisheria.sasa katika wakati ambao Sheria na katiba ya nchi inakanyagwa ulitegemea umsikie nani? Tumia common sense
 
Mwita Nyarukururu!!? Unapoona hadi wakurya wameanza kuwa na umbeya na kuongea majungu basi namba inasomwa kweli... pole sana comred
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…