Mh. Lema aleta kikosi cha watu 34 toka Mara kushiriki maandamano ya kimya kimya kama alivyoyaita

Status
Not open for further replies.

Mkya

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
667
94
Maandalizi ya maandamano ya lema Arusha ya kimya kimya kama alivyo yaita yeye yanaendelea vizur baada ya jana mida ya saa moja usiku gari aina ya costa kuleta vijana thelathini na nne nakuwashusha gest ya Nairobi shine Ngusero vijana hao wanaunganika nawenzao waliyo kuja siku ya ufunguzi wa kampeni kutoka mkoa wa mara

Karibuni Arusha ila kwa sombetini hamtafanikiwa mliyo wakatakata wanatosha kwasasa basi
 
Wewe ni mwehu na acha kudanganya watu, ccm mnatembea na mafyekeo kwenye kampeni zenu za Sombetini kwa ajili ya nini???? Huko mnakoelekea ni hatari kwa usalama wa Taifa hili. Mnapobeba watu toka maeneo nje na Sombetini kudanganya mnakubalika nazo hizo ni kampeni?? Mtasema sana ila hamtapata huruma za wana Sombetini,
 
Kwahiyo nanyie mmeamua kubebakutoka mara
 
Maandalizi ya maandamano ya lema Arusha ya kimya kimya kama alivyo yaita yeye yanaendelea vizur baada ya jana mida ya saa moja usiku gari aina ya costa kuleta vijana thelathini na nne nakuwashusha gest ya Nairobi shine Ngusero vijana hao wanaunganika nawenzao waliyo kuja siku ya ufunguzi wa kampeni kutoka mkoa wa mara

Karibuni Arusha ila kwa sombetini hamtafanikiwa mliyo wakatakata wanatosha kwasasa basi

Yaan ww napaswa hata kukutukana wanaarusha wote nj chadema sisi tunajitosheleza kabisa, nenda katawaza kwanza naona ndo unamka now
 
Tabia ya ccm ya mauaji haipo chadema..yaonekana mnaanza kujidefence na kujiandaa kisaikolojia kwa matokeo hasi dhidi yenu.
 
Kwahiyo nanyie mmeamua kubebakutoka mara
Toa ushahidi, maana ushahudi wa nyie kutembea na mafyekeo uko wazi hata Rb zipo na malalamiko kwa msimamizi wa uchaguzi upo. Wewe unatuambiaje kuhusu hizo nla blaa zako?? By the way, nikuambie tu, hao ulio waona ni mawakala wetu na huwa tunawaweka pamoja ili msiwarubuni maana hakuna siku mmeshinda bila hila. Usiweke issue hapa kama huna uhakika nayo.
 
Kama ni kweli safari hii itakula kwake!

Narudia kusema,kama kweli safari hii itakula kwake!!
 
Maandalizi ya maandamano ya lema Arusha ya kimya kimya kama alivyo yaita yeye yanaendelea vizur baada ya jana mida ya saa moja usiku gari aina ya costa kuleta vijana thelathini na nne nakuwashusha gest ya Nairobi shine Ngusero vijana hao wanaunganika nawenzao waliyo kuja siku ya ufunguzi wa kampeni kutoka mkoa wa mara

Karibuni Arusha ila kwa sombetini hamtafanikiwa mliyo wakatakata wanatosha kwasasa basi

jumanne mjusi anamtesa sana lema
 
Kwani mmea wa Arusha na ule wa Tarime ni upi kiboko.
 
Siongei vibaya, ila CCM nawashauri Punguzeni hamu ya kumiliki Sombetini maana Wananchi wa Arusha wameiamini CDM kuliko CCM. Mkifanya hivyo, itapunguza fujo zisizo na msingi wowote.
 
Maandalizi ya maandamano ya lema Arusha ya kimya kimya kama alivyo yaita yeye yanaendelea vizur baada ya jana mida ya saa moja usiku gari aina ya costa kuleta vijana thelathini na nne nakuwashusha gest ya Nairobi shine Ngusero vijana hao wanaunganika nawenzao waliyo kuja siku ya ufunguzi wa kampeni kutoka mkoa wa mara

Karibuni Arusha ila kwa sombetini hamtafanikiwa mliyo wakatakata wanatosha kwasasa basi
Kama ni kweli wana Mara mnahitajika kuleta Maendeleo wilaya I Bunda, Serengeti, Tarime, Butiamba, Musoma na Rorya na si vinginevyo kama hili la kutumiwa na huyo Mhe. Jiulizeni kwa Nini asiwatumie Ndugu Zake na Watoto Zake kama kuna masilahi. Mbona vyeo vya chadema ukiwemo Ubunge wanawapachika Ndugu zao. Kwenye mambo ambayo kuna hatari wanatumia Watu Wengine kama nyie kwani hata mkiumia au kufa Nyumbani kwao hakutakuwa na Msiba na matanga. Amkeni wana Mara kataeni ujinga huo ondokeni mrudi Mara mkalete Maendeleo.
 
Maandalizi ya maandamano ya lema Arusha ya kimya kimya kama alivyo yaita yeye yanaendelea vizur baada ya jana mida ya saa moja usiku gari aina ya costa kuleta vijana thelathini na nne nakuwashusha gest ya Nairobi shine Ngusero vijana hao wanaunganika nawenzao waliyo kuja siku ya ufunguzi wa kampeni kutoka mkoa wa mara

Karibuni Arusha ila kwa sombetini hamtafanikiwa mliyo wakatakata wanatosha kwasasa basi

Wewe utakuwa umevurugwa sio bire
 
Watu wengine huwa wanakunywa konyagi ndo wapost ugoro...
Kwanza hakuna kitu kama hicho,Arusha chadema wapo zaid ya 50,000; watu 31 wafanye kaz gan hasa? Nakuambia cdm imejipanga sana na kushinda ni asilimia 99.9.
Pili umeandika,' maandamano ya lema,ina maana lema ndo anaandamana mwenyew? Kama ni mwenyew iweje watu waalikwe?
 
Propaganda zingine zinapaswa mhusika akathibitishe mahakamani, mtu anaharisha tu bila kufikiria nani atapita hapa.
 
Kuna mbulula anasema mjusi anamtesa Lema wakati mjusi anaiongezea kura chadema we'unajua kupiga watu ndio kumtesa lema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom