Kwa sasa nakuita mzee umekuwa my "role model" watakaokutukana najua sababu zao kufanya hivyo. Ukweli haujawahi kushindwa na hila kamwe. Mungu akujalie na akupe moyo wa ujasiri, moyo wa uoga ukae mbali nawe..>...>
Nimesikitika Komba alivym attack Warioba, ebu ona maneno ya komba hapa chini.
Ni muasi kama adamu alivyomuasi Mungu, katuasi watanzania,
Nazungumzia Warioba and company (yaani tume ya katiba)
Amekurupuka na kufanya kazi ambayo hakutumwa muasi mkubwa huyu.
Eti John Komba, mwalimu wa UPE na mbadilishaji wa nyimbo zinazoimbwa kwenye misiba kule Songea, anahoji 'credibility' ya Judge, X-PM, X-Makamu wa Rais, Joseph Sinde Warioba...!
Ajabu.....
Eti John Komba, mwalimu wa UPE na mbadilishaji wa nyimbo zinazoimbwa kwenye misiba kule Songea, anahoji 'credibility' ya Judge, X-PM, X-Makamu wa Rais, Joseph Sinde Warioba...!
Ajabu.....
Anatafuta spdi ya kutunga shairi huyoKwa sasa nakuita mzee umekuwa my "role model" watakaokutukana najua sababu zao kufanya hivyo. Ukweli haujawahi kushindwa na hila kamwe. Mungu akujalie na akupe moyo wa ujasiri, moyo wa uoga ukae mbali nawe..>...>
Nimesikitika Komba alivym attack Warioba, ebu ona maneno ya komba hapa chini.
Ni muasi kama adamu alivyomuasi Mungu, katuasi watanzania,
Nazungumzia Warioba and company (yaani tume ya katiba)
Amekurupuka na kufanya kazi ambayo hakutumwa muasi mkubwa huyu.
Hivi hao wakina komba and co's wanajua kwamba hiyo tume walikuepo wakina mzee butiku , salim ahmed salim, prof kabud, al maamry, jaja agustino ramadhan, prof baregu , polepole na think tank wengi wa taifa hili, ukitukana tume yenye watu kama hawa tanzania ... Inabidi upimwe akili..ccm wakiweka misimamo kwenye vikao vyao wawekeana na break za kuongea la sivyo wanoonekana kam vilaza waliopanic na kuchanganyikiwa

Kweli mkuu.. Kama hawa ghasia anaweza kufika hata robo ya kazi aliyoifanya mzee warioba kweli..? Mtu kama yule anataka asifiwe tu kwenye vikao vya chama kwamba nae ameongea lakini ukiangalia hamna kituNakubaliana na wewe , ndo utaona mtu kama Hawa Ghasia (aka Kubwa Jinga Halina Adabu) lilivyotapika juzi! Likiongoza makubwa jinga mengine - hovyooo !
Hii nchi yetu hii sijui ni nani aliyetuloga kiasi kwamba nzuri tunaona mbaya na mbaya tunaona nzuri. Mtu akitoa mipasho huyo ndiye anaeonekana wa maana jamani tutafika kweli . Cha ajabu hawa hawa mwakani watapita kuomba kura na kushinda kwa vishindo. Ama kweli the beautiful one is not yet born.Kweli mkuu.. Kama hawa ghasia anaweza kufika hata robo ya kazi aliyoifanya mzee warioba kweli..? Mtu kama yule anataka asifiwe tu kwenye vikao vya chama kwamba nae ameongea lakini ukiangalia hamna kitu
Inasikitisha na kushangaza..tumekua na mihemko ya kisisa na ushabiki usiokua na tija..hamna mtu anakaa chini tena anasoma vitu kwa undani , hamna mtu anakaa tena anatafakari mambo kwa undani, ni kukurupuka tu.. Na wale watu wenye uwezo mdogo kwenye mambo ndo wapo mbele..unadhani tutafika kweli..!Hii nchi yetu hii sijui ni nani aliyetuloga kiasi kwamba nzuri tunaona mbaya na mbaya tunaona nzuri. Mtu akitoa mipasho huyo ndiye anaeonekana wa maana jamani tutafika kweli . Cha ajabu hawa hawa mwakani watapita kuomba kura na kushinda kwa vishindo. Ama kweli the beautiful one is not yet born.