thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,864
- 4,847
[h=5]millard ayo
[/h][h=5]‪#‎ISHU‬ Mbunge Idd Azan kuhusu tuhuma za kuuza dawa za kulevya: 'Sijawahi fanya hiyo biashara, watu walianzia kuhoji kisa naendesha magari mazuri, ikigundulika ni kweli basi nichukuliwe hatua.. maneno haya yalianza kabla ya uchaguzi wa 2010, kuna watu ambao kisiasa wananiogopa'
unaweza kushea hii post na wenzako waliosikia hizo habari wajue kilichosemwa upande wa pili mtu wangu.[/h]source.
https://www.facebook.com/photo.php?...set=a.416435953791.214022.211320898791&type=1