wewe hujui kiingereza ni wito?
Lugha imekuja kwa meli hiyo...
Halafu lugha zetu kihangaza, kimanyema ?, kisukuma
kisha kifuate kiswahili ambacho bado kinasumbua mpaka leo
itakua kiingereza?????
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, yeah we need to manufacture schools first and zen we manufacture teachers and finally we will manufacture good results
if god allowz zen we can manufacture doktaz fasta, anyone who want to business in tanzania come, come come-come and talk to me right now or even now!!!
Mkuu, hv hukuwahi kuambiwa au kusikia kuwa kuongea kiingereza kwa waTZ walio wengi ni janga la kitaifa!? Nilikuwa naangalia hicho kipindi hiyo jana, kwa kweli kilikuwa kinatia kichefuchefu!
MMMMHHHHHHHHHH hivi kusoma ndo kujua kiingereza? na kama mtu akisoma tuition ya lugha ya kiingereza na hajawahi kufika hata kidato cha kwanza ila kiingerza anakimudu vizuri naye anaitwa msomi?
mkuu, hv hukuwahi kuambiwa au kusikia kuwa kuongea kiingereza kwa watz walio wengi ni janga la kitaifa!? Nilikuwa naangalia hicho kipindi hiyo jana, kwa kweli kilikuwa kinatia kichefuchefu!
Mkuu hata hapa Jf!! Chunguza kwa umakini utagundua ninachokiongea!!
Walio wengi bado wanaamini hivo, alafu GT anadhani asipochangia ama kutoa maoni kwa kuchanganya kiswa-nglish hajiamini kama atakubalika!!
Tabia hii inakera ukizingati sisi wa "manufacturing teachers"(shule za kata) nasi pia tumo JF!! "HAMTUTENDEI HAKI."
Iko siku mtu atatoa kiswa-nglish chake na mwingine ashuke Kirusi tuone!!
"Tuache utumwa wa akili na fikra mgando, tujifunze kwanza lugha yetu kwa ufasaha!!"
Ni sahihi kabisa great thinkers niliwategemea wajadili hoja za kipindi hicho cha ajabu wanajadili kingereza kwani kila anayeongea kiingereza ana fikra sahihi?
Hila kwa kifupi nampongeza sana Mkosamali ingawa sijakisikiliza kipindi lkn kitendo cha kudhubutu(kuwa na gut) kushiriki ktk kipindi kimeonyesha kujiamini kwake,kingereza jamni ni soo tusimbeze mkosamali.