Mh, hii ni Asia!?...

Kuna mawili hapo, kama ukifikiria nje ya box la BRN...

1. Aliyeshika shati ni mtu wa Asia.

2. Ramani ni ya Afrika.

Hapo sasa jamaa katika printing, akachanganya madesa!...


Ni mtazamo lakini
 
Kuna mawili hapo, kama ukifikiria nje ya box la BRN...

1. Aliyeshika shati ni mtu wa Asia.

2. Ramani ni ya Afrika.

Umeelewa mchungaji?

Mbona anaonekana kama Mzungu?...
 
Ha, kama wale wahariri wa magazeti
 
Imechapwa wapi? Nadhani Tanzaniamaana elimu yetu inatupeleka pabaya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…