Ata kama anaiba tunyamaze tuPASCO,Naomba nitofautiane na wewe kidogo kimtazamo.siyo ccm ndio waliwasadikisha watu kuwa kila tajiri ni fisadi.katika Nchi ya masikini wa kipato wengi,kila mwenye nacho huonekana machoni pao kama fisadi vile.wao hudhani pengine hawa walionacho(the haves) wamepata kwa kuwadhurumu wasio nacho (the have nots).usishangae kuona hata mtumishi wa umma ambaye hana hata sehemu ya kuchakachua,akifanya bidii akachuma mali kwa njia halali bado ataonekana ni FISADI.hata wewe kama unamiliki gari na nyumba kuna watu wanakuona ni FISADI.
Kama mtu amekuwa kwenye politics kwa takribani miaka 40 atashindwaje kuwa tajiri kama ana wekeza utajiri na mali zake vizuri? mimi ningeshangaa kama angekuwa masikini. unawezaje kuwa waziri miaka yote hiyo halafu ubaki kuwa masikini?
pasco una mahaba na lowassa,lowassa alishindwa kumwambia nyerere alivyopata mali zake!na huoni kumiliki hayo makampuni akiwa kiongozi mwandamizi serikalini kuna conflict of interest au undue influence?
Hapo kwenye bold hapo hujafanya utafiti mkuu, jamaa ni mfanya biashara mkubwa anamiliki ranch huko tanga ana hisa kwenye makampuni kama voda nk. Na kama ujuavyo makampuni ya simu za mikononi ni blue chip company.. hivyo jamaa kuwa na uhakika wa kipato kikubwa maisha yake yote.Najiuliza na kukosa majibu Mh.Lowasa si mfanyabiashara,zaidi ya kuwa mbunge,nimejionea siku za hivi karibuni katika vyombo vya habari akichangia mambo mengi hasa katika miradi ya maendeleo na katika taasisi binafsi na zamakanisa.Huyu mweshimiwa pesa anazitoa wapi?
Je alikwisha tangaza mali zake hadharani? na kipato chake kiko vipi?Alipokuwa waziri katika awamu ya tatu kwa nini akufanya hivyo?na alipokuwa waziri mkuu kwa nini alishidwa kufanya hivyo? Na kwa nini safari zake na hotuba zake zinapewa umuhimu mkubwa katika vyombo vyetu vya habari?
Nadhani iko sababu kwa CCM kuweka hadharani utajiri na mali ya kila kiongozi wa CCM anayefikiria kutupa karata ya urais 2015.
Aangalie huyo Mgeta maana anapambana na adui asiyemjua nguvu zake,watamsambaratisha bila kujielewa!mtandao wake ni mkali sana,tusubiri majibu yake asije akapiga kelele bure
Nadhani iko sababu kwa CCM kuweka hadharani utajiri na mali ya kila kiongozi wa CCM anayefikiria kutupa karata ya urais 2015.
mkuu unakuja na hoja dhaifu ya vitisho. jamaa amefikisha ujumbe, so fanyeni mnalo fanya.Aangalie huyo Mgeta maana anapambana na adui asiyemjua nguvu zake,watamsambaratisha bila kujielewa!mtandao wake ni mkali sana,tusubiri majibu yake asije akapiga kelele bure
Bahati yake ni mkiristo angekuwa muislamu angeambia pesa zake ni haramu au angeambiwa ni gaidi alqaida kila jina angepewa kwavile anatoka upande wa kushoto ni mtu safi sanaLowassa ni Tajiri sana----ALPHA
Lowassa FISADI, MWIZI, JAMBAZI, hawezi nishawishi kwa namna yoyote nimuunge mkono! Hafai kuongoza Watz.