Mh. David Silinde....

Huyo hana mashauzi wala nini. Kasoma Minaki A level na UDSM Bcom. Nampendea kitu kimoja tu kuwa huongea kwa uhuru na ni mjenga hoja mzuri sana. Ingekuwa inawezekana angekuwa President mzuri.

Napendekeza Jf mtutafutie Apps ambayo itakuwa inatupiga picha tunapoandika comments kwenye jamvi, maana naona Mh. Silinde amecharuka kujipigia promo hapa jamvini!!! Aha ha ha ha ha ha!! Ila ukweli vijana wa upinzani wako vizuri kuliko matoyoyo ya ccm! BIG UP SILINDE!
 
Kwa kweli mimi sio Mh. Silinde. Mimi niko north yeye yuko central {dodoma}. Wala simpigii promo hapa. Na nilijiunga hapa mwaka jana ila leo asubuhi ndo nlianza kuandika hapa.
 
So what! Mnunulie chai mnywe
 
Ni kweli... Hata tulivyokuwa nae udsm... Ni kijana anaeongea ponti.

huyu jamaa nakumbuka kidogo vijana wa Coet(UDSM) wamwue yeye na Adam Chagulani pale B2-2 akihamasisha mgomo
 
Leo nimemkubali alivyoongea nimeamua kumgoogle nimjue zaidi, anasema "wezi ni walewale"
 
Yaa dogo amejitahidi mim kada wa ccm lakin nilipenda style yake ya kuongea kwa leo kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…