mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,253
Nachukua nafasi hii kuziomba mamlaka zinazohusika zimfikirie Mh. Mimosa Cheyo nafasi ya ubunge wa kuteuliwa kwani amekuwa na mchango mkubwa. Moja ya michango yake ni ule wa kuuponda upinzani wakati na yeye anaongoza chama cha upinzani.