CDM kum-miss Kilango? Kwa lipi? hao wanaojiita wapambanaji wa ufisadi ndani ya CCM ni watu wanaotumiwa kuvunja hoja za CDM. Kila hoja nzito inapoibuliwa na CDM wao hudandia na kkuifanya yao halafu huigeuza na kuikosesa nguvu. Kilango, Ole-Sendeka, Sitta, na wengine wote ni Magamba tu.