hivi inakuaje huko maana nilitaka kwenda kupanga kigamboni,emu naombeni mawazo maana nataka kwenda kulipia nyumba nimepata sehemu tatu na moja wapo nataka kulipia leo yaani vijibweni,visiwani na kwa mwingila
ndg wala usiwe na wasiwasi kalipie tu na uamie kwani hii story ya kigamboni ni alfu lela ulela yani ni ya mda mrefu sana, huu mradi wala si wa kesho toa hata next 20 yrs to comehivi inakuaje huko maana nilitaka kwenda kupanga kigamboni,emu naombeni mawazo maana nataka kwenda kulipia nyumba nimepata sehemu tatu na moja wapo nataka kulipia leo yaani vijibweni,visiwani na kwa mwingila
thax mkuundg wala usiwe na wasiwasi kalipie tu na uamie kwani hii story ya kigamboni ni alfu lela ulela yani ni ya mda mrefu sana, huu mradi wala si wa kesho toa hata next 20 yrs to come
thax mkuuusijali kalipie chumba uingie KWANi wapangaji ni miongoni mwa watu watakaolipwa fedha ya usumbufu.