Mgunda = huyu huyu Pep Guadiora wa Bongo mwenye pensi kubwa au unamzungumzia Mgunda yupi?Siyo uchawi mkuu,Tunaongea ukweli yaani inauma basi tu.Sisi wa kugombania nafasi ya pili kweli?Tunatoa sare na vitimu vya ajabu ajabu?
Hawa wana simba wana roho mbaya sana yaani wao wanataka hela za mo ziendage kwa makocha wa kigeni tuu na sio mzawa.Mgunda = huyu huyu Pep Guadiora wa Bongo mwenye pensi kubwa au unamzungumzia Mgunda yupi?
Endeleeni kushangaza shangaa mtakuja jikuta mkoa nafasi ya 8 huyu kocha nishasemaga hana mbinu na atakapoendelea kuwepo basi Simba ijiandae kutoa draw nyingi sana.Kuwa na kocha Mgunda naona kama Simba SC tuna bet, kadri anavyozidi kukaa muda mrefu inawezekana ndio akatumaliza kwenye ligi huku sisi tukiendelea kushangilia uwepo wake kwasababu ya kutupeleka makundi CAFCL.
#anatuzubaisha.
Umemsahau sakho na kanoute ni zeroYote haya kisa yanga kafuzu? Au mnataka Mgunda awe mbuzi wenu wa kafara?. Simba n timu dhaifu Sana, timu inayotegemea uwepo wa mchezaji mmoja ndio icheze mpira haiwez kuwa bora na huwez kumlaumu kocha kamwe.
Simba ina wachezaji wengi ambao Hawana muendelezo mzuri ni kama homa za vipindi, quality ya wachezaji wa Simba n kawaida sana mf, Kyombo, kibu,Okwa,Akpan. Simba haina mchezaji mbadala kwa chama??.
Walituombea mabaya sana hawa watu lakini Mungu yupo pamoja na Yanga., Mungu wetu siyo kama wanadamu.Yote haya kisa yanga kafuzu? Au mnataka Mgunda awe mbuzi wenu wa kafara?. Simba n timu dhaifu Sana, timu inayotegemea uwepo wa mchezaji mmoja ndio icheze mpira haiwez kuwa bora na huwez kumlaumu kocha kamwe.
Simba ina wachezaji wengi ambao Hawana muendelezo mzuri ni kama homa za vipindi, quality ya wachezaji wa Simba n kawaida sana mf, Kyombo, kibu,Okwa,Akpan. Simba haina mchezaji mbadala kwa chama??.
Waeleze bwana watu wanataka kutimua timua kocha tuu kisa draw.Tulizeni munkari mbona hamnaga uvumilivu? Ebooo
Mi sipendi aisee makosa lazima yawepo ndo maana kuna kushinda na kushindwa. Kwahyo Simba ikifunga huo ubaya wake hamuuoni? Akifungwa ndo mnataka aondoke. HWaeleze bwana watu wanataka kutimua timua kocha tuu kisa draw.
Sisi tuna imani na kocha wetu Juma Mgunda. Wewe utakua ni mamluki uliyetumwa na mzee Kilomoni, ili kuivuruga timu yetu.Siyo uchawi mkuu,Tunaongea ukweli yaani inauma basi tu.Sisi wa kugombania nafasi ya pili kweli?Tunatoa sare na vitimu vya ajabu ajabu?